RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya 
filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au 
mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika 
umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai, 
haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatazisikia.
 

 
 
No comments:
Post a Comment