Pages
Home
Kitaifa
Kimataifa
Michezo
Burudani
Makala
Usilolijua
Leo katika historia
Picha
Teknolojia
Afya
Simplfy language
thanx
Thursday, May 29, 2014
TAZAMA PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU RECHO NA MWANAWE ULIPOWASILI VIWANJA VYA LEADERS
Majeneza yenye miili ya Recho na mwanaye
.
Miili ya Rachel Haule ‘Recho’ na mwanaye ikishushwa kwenye gari maalum baada ya kuwasili Viwanja vya Leaders ikitokea nyumbani Palestina, Dar tayari kwa kuagwa.
Wasanii wakiongoza msafara kuelekea eneo maalum la kuaga miili hiyo ndani ya Viwanja vya Leaders.
Waombolezaji wakiwa na simanzi baada ya mwili kuwasili Leaders.
Majeneza yenye miili ya msanii Recho na mwanaye yakipelekwa eneo maalum kwa ajili ya kuagwa.
Wasanii wakiwa tayari kuaga mwili wa mwenzao
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment