Simplfy language

thanx

Tuesday, June 3, 2014

MFUMO WA MALIPO WA BUNGE KUBADILISHWA ILI KUDHIBITI UTORO BUNGENI.

mwigulu (1)
Naibu Waziri wa Fedha na naibu katibu mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Nchemba amesema wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza baadaye Agosti hawatalipwa kwa mkupuo posho zote za siku 60 ikiwa ni mkakati wa kudhibiti utoro.

No comments:

Post a Comment