Mtandao wa wanaharakati wanaopigania wanawake kupewa
daraja la upadri, umemtangaza mwanachama wake, Lillian Lewis (75), kuwa
padri Mkatoliki.
Hilo ni pigo jipya kwa Kanisa Katoliki ambalo kwa siku za karibuni lina kilio cha kutaka mapadri waruhusiwe kuoa huku Papa Francis akieleza msimamo wake kuwa angependa kuendelea kuwa na mapadri waseja.
No comments:
Post a Comment