Simplfy language

thanx

Tuesday, June 10, 2014

HATIMAYE BINTI ALIYETESWA AKABIDHIWA KWA MWNAHARAKATI...

PASI 
 Hatimaye Yusta Lucas (20), binti anayedaiwa kuteswa kwa kung’atwa na mwajiri wake, Amina Maige ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Mwananyamala alikokuwa amelazwa na kukabidhiwa kwa wanaharakati wa Taasisi ya Jipange.

Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi katika Kituo cha Oysterbay na wakati wowote atafikishwa mahakamani upelelezi utakapokamilika.

No comments:

Post a Comment