Simplfy language

thanx

Thursday, May 8, 2014

Homa Ya Dengue yawa tishio Tz wagonjwa 376 waripotiwa....

Mbu(1)
Homa ya dengue inaendelea kushika kasi nchini baada ya takwimu za Januari hadi juzi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kuonyesha kuwa watu 376 wamekwishagundulika kuugua ugonjwa huo.

No comments:

Post a Comment