Vijana wasiopungua 45,000 watakaomaliza kidato cha sita watajiunga 
na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria na watakaokwepa 
mafunzo hayo ya miezi mitatu, watashtakiwa.
“Katika kambi za JKT kuna tatizo la vifaa vya afya, hivyo wizara 
iliangalie hilo ili wanaokwenda katika mafunzo hayo wapate tiba sahihi 
na kwa wakati.”
 

 
 
No comments:
Post a Comment