Simplfy language

thanx

Sunday, June 16, 2013


TUNAJIFUNZA NINI???????

soma hapa.......IKULU YA MAREKANI YAIFUTA SAFARI YA RAIS OBAMA NCHINI TANZANIA 


WAKATI Serikali ya Tanzania ikiendelea na maandalizi ya kupokea msafara wa watu 700 waliotarajia kuingia nchini kwa ziara ya Rais wa Marekani Barack Obama, Rais huyo amesitisha safari yake.

Ikulu ya Marekani imetangaza kwamba msafara wa Rais Obama kuja kutembelea Bara la Afrika haitakuwepo tena,baada ya serikali ya nchi hiyo kukosa fedha itakayoweza kugaramia safari ya Rais huyo.


No comments:

Post a Comment