June 16, 2013
TUTAFIKA???????????KIJANA MMOJA AKUTWA AMEKUFA KATIKA NYUMBA INAYOJENGWA, KIGOGO, DAR-ES-SALAM:
Kijana mmoja aliyefahamika wa kwa jina la Kobero, leo asubuhi amekutwa akiwa amekufa kwenye chumba kimoja cha nyumba ambayo ilikuwa haijamalizika kujengwa maeneo ya Kigogo Luhanga jijini Dar es Salaam. 
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, marehemu alikutwa na chupa iliyokuwa na masalia ya pombe haramu aina ya gongo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, marehemu alikutwa na chupa iliyokuwa na masalia ya pombe haramu aina ya gongo.
 
No comments:
Post a Comment