Pages
Home
Kitaifa
Kimataifa
Michezo
Burudani
Makala
Usilolijua
Leo katika historia
Picha
Teknolojia
Afya
Simplfy language
thanx
Monday, June 17, 2013
WABUNGE VS BONGO MUVIIIIII
Mbunge wa Kawe Kupitia tiketi ya CHADEMA,
''
Halima
Mdee
''
ameanza maandalizi yake ya pambano la Masumbwi dhidi ya Mpinzani wake staa katika Tasnia ya Filamu Tanzania "Bongo Movies",
Jacqueline Wolper
.
Pambano la wakali hao litafanyika Julai 7, siku ya Sabasaba katika Tamasha la Matumaini kwenye Uwanja we Taifa jijini Dar es Salaam.
Mdee amekuwa akiendelea na mazoezi
yake chini ya Mbunge wa CCM,
Idd
Azzan
ambaye pia siku hiyo atapanda
ulingoni kutoana jasho na mkali wa
Bongo Movie Bonge la Bwana
namzungumzia
Jacob Steven
muite
''JB"
Mwana dada Worper nae akijiweka sawa tayari kwa Mpambano sikuHiyoo, nihatariiiiii
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment