Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP, Liberatus Sabas akizungumza na wanahabari
Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Olkokola Wilayani Arumeru Mkoani Arusha amefanyiwa ukatili wa kutisha kwa kukatwakatwa na Panga kichwani na kuondolewa kiganja cha Mkono, sikio na sehemu nyingine za mwili wake
No comments:
Post a Comment