Simplfy language

thanx

Sunday, June 29, 2014

UNYAMA AN UKATILI HATARI: MWENYEKITI WA CCM AUWAWA KIKATILI

ccm
Watu  wanaodhaniwa  kuwa ni majambazi wamemuua kinyama kwa kupiga  risasi moja ya kichwani mwenyekiti  wa chama cha mapinduzi  kata ya Busambala wilayani Butiama mkoani Mara Bw Willison Opio mwenye umri wa miaka 60 huku kichwa chake kikisambaratishwa  kabisa na risasi hiyo.
Mauaji hayo ya  kinyama yamefanyika saa saba usiku wa kuamkia jana,baada ya majambazi hayo kuvunja milango ya nyumba aliyokuwa  amelala  kiongozi huyo na familia yake katika kijiji cha Kwikuba kabla ya kumshambulia kwa bapa za panga mke wamarehemu Bi Agness Wambura  ambaye alilazimika  kuwapa  kiasi cha shilingi laki nne  ambazo alizikopa kutoka katika taasisi moja ya fedha.


No comments:

Post a Comment