MWILI wa mtoto Nasra Rashid (4) utaagwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuanzia saa 2 hadi saa 3 asubuhi leo. Mwili huo baadaye utazikwa katika makaburi ya Kola, mkoani humo.
Nasra alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili Juni 1, mwaka huu
akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akitibiwa baada ya
kuugua kutokana na kuishi kwenye boksi kwa muda wa miaka 4.
No comments:
Post a Comment