H Baba alipelekwa hospitalini hapo jana usiku, na inaelezwa kuwa
alianza kujisikia anaumwa tangu Jumatano (June 5), wakati anajiandaa
kwenda kuuaga mwili wa marehemu George Tyson aliyefariki kwa ajali ya
gari.
“Dengue, Muhimbili now saa nane hii, usiku hali ilikuwa mbaya zaidi imebidi tuletwe Muhimbili Hospital.amegundulika ni dengue. thanx to god anaendelea vizuri and that is the last drip.asante my manager Yahya for your greatest help.mungu akuzidishie.asanteni pia my fans kwa maombi yenu.” Amesema mke wa H Baba, Flora Mvungi
No comments:
Post a Comment