Pages
Simplfy language
thanx
Friday, May 30, 2014
MPAKA LINI?/??? WANAFUNZI SAUTI WAANDAMANA......
Wanachuo wa chuo cha saut tawi la mtwara Jana wameandamana mpaka kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara kutaka ufumbuzi juu ya mikopo yao kama wanachuo kutoka kwenye bodi ya mikopo.
Madai yao kwa sasa ni miezi 4 hawajalipwa ndipo wakaamua kuandamana maandamano ambayo hayakuwa rasmi hivyo jeshi la polisi mkoa wa mtwara likaingilia kati na kuzima maandamano hayo yaliyoanza mchana majira ya saa 8 mpaka saa 1o.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment