MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia
 akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.
Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na 
shilingi trioni 2.2 na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa 
ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England.
 

 
 
No comments:
Post a Comment