Kiongozi wa Taasisi ya Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda,
jana aligoma kufikishwa mahakamani kutoka mahabusu ya Gereza la Mkoa wa
Morogoro, akidai kuchoshwa kuhairishwa kwa kesi yake kila anapofikishwa
mahakamani.
Upande wa Jamhuri unaowakilishwa na Wakili Sunday Hyera uliiomba mahakama hiyo kuahirisha kesi na kupanga tarehe nyingine ya kutajwa wakati jalada halisi la kesi hiyo lililoitishwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, likiendelea kusubiriwa kuletwa kortini.
No comments:
Post a Comment