Hofu  ya ushirikina imetikisa Mkoa wa Arusha kufuatia tukio la hivi
 karibuni ambapo mwanafunzi wa Chuo cha Kompyuta jiji hapa, Witness Obed
 (21) aliyefariki dunia Aprili 12, mwaka huu na kuzikwa kwenye makaburi 
ya nyumbani kwao Kijiji cha Nanja, Kata ya Moshono wilayani Arumeru, 
Arusha kuibuka akiwa hai.
 
 
 

 
 
No comments:
Post a Comment