Ni visa mbavyo wengi tulivisikia katika hadithi za kale, watu kuliwa na majitu, lakini katika siku za karibuni tumeshuhudia watu wakila viungo vya wenzao
 Jamhuri ya Afrika ya Kati katika jazba ya kulipiza kisasi 
dhidi ya watu waliowadhulumu katika uongozi uliong’olewa mamlakani wa 
Seleka.

Walipoingia
 chumbani humo Lo ! wakapata kichwa cha mtoto.Kiwiliwili hakijulikani 
kililiwa au kapotelea wapi. Arif Ali tena amekamatwa kwa mara ya pili na
 polisi wanaendelea kumsaka kakake.
 
Polisi wanaamini ndugu hawa walifukua maiti ya mtoto ambaye kichwa kilipatikana ndani ya makaazi yao.Arif anamlaumu kakake Farman.Wawili hao waliwahi kuoa na hata wakajaliwa watoto, hata hivyo wake zao waliwatoroka kabla ya kukamatwa kwao na kufungwa jela kwa kisa cha awali.

No comments:
Post a Comment