 Mgombea  Ubunge katika Jimbo la 
Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya 
 kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.
Mgombea  Ubunge katika Jimbo la 
Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya 
 kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.
Mgaya amesema amevamiwa na 
kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira ya saa sita za usiku akiwa 
katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime Chalinze.
“Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu ahsante uongozi wa Chadema kwa kunisaidia,” alisema Mgaya.
Mgaya amesema ameumia mikononi wakati akipangua nakujitetea maana mvamizi alikuwa na panga.
Mbali na yeye pia amesema 
kiongozi wa Chadema, Mwita Waitara naye alijeruhiwa kwa kuwa alikuwa 
mmoja ya watu waliokuwa wakimsaidia
 
 
 
No comments:
Post a Comment