Simplfy language

thanx

Friday, April 4, 2014

LEO MOTO MKALI WA MAFIKIZOLO NDANI YA DAR....


Mafikizolo imekuwa na rekodi nzuri ya kushinda kwenye tuzo mbalimbali za muziki, kutokana na kupiga muziki na kucheza kwa umahiri, hasa mtindo wao maarufu wa Kwaito.









Kundi lilianzakutetereka na baadaye mwaka 2013 waliungana tena na kutoa albamu ya sitailiyoitwa "Reunited" na kutoa singo yao ya kwanza "Khona"wimbo ambao umewatambulisha upya.

No comments:

Post a Comment