Simplfy language

thanx

Saturday, April 5, 2014

CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA KATIKA KABURI...AJABU...TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA..

Mamauzauza! Chungu cha Ajabu chenye damu,maini na kichwa cha ndege chaibuka kwenye Kaburi la mtoto huko IRINGA..!!

chung
Chungu  cha ajabu  kilichokutwa juu ya kaburi  katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa  leo kikiwa  kinafoka  damu
Wananchi  wakishuhudia chungu  hicho cha ajabu  kushoto  karibu na jembe
Hapa  ndipo  chungu hicho  kilipoibukia
Baba wa mtoto Agnes Mlawa akichimbua chungu  hicho
baba  wa mtoto huyo kulia akisaidiwa na msamalia  mwema  kufungua chungu hicho ili kuona ndani
Hivi ndivyo  vilivyokuwemo ndani na damu ,maini na kichwa cha ndege
Hapa msamaria  mwema  akionyesha vitu  vilivyopo ndani
Mzee Mlawa  akiwasha kiberiti kwa ajili ya kuteketeza  ushirikiana huo
Tunguli ikiteketezwa  kwa moto
Wananchi na mzee Mlawa  kulia  wakitazama tunguli hilo  likiteketea kwa moto
Mwisho wa ushirikina hapa

Mzazi wa Marehemu Afunguka

No comments:

Post a Comment