Simplfy language

thanx

Thursday, January 16, 2014

Taarifa ya CHADEMA kuhusu wagombea udiwani Kanda ya Kaskazini na kutekwa mmoja wa wagombea wao..!!

chadema
Katika uchaguzi huu CHADEMA imejipanga kushiriki kikamilifu sana tukiwa na uhakika kuwa chama kimewapa wananchi wapiga kura chaguo lao kwa kuzingatia uwezo wa wagombea, utayari wa wagombea wetu kushirikiana na kuwatumikia wananchi na dhamira njema ya kutatua matatizo na kero za wananchi zilizoletwa na CCM kwa kushindwa kutimiza wajibu wao.

No comments:

Post a Comment