Pages
Home
Kitaifa
Kimataifa
Michezo
Burudani
Makala
Usilolijua
Leo katika historia
Picha
Teknolojia
Afya
Simplfy language
thanx
Saturday, January 18, 2014
dah ufoo saro tena...........
MWANDISHI wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye hivi karibuni alikumbwa na madhila ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na mzazi mwenzie, kwa sasa
afya yake imeimarika na kurejea kazini.
Kamera ya Matukio iliweza kumkamata katika mmoja ya mkutano wa waandishi wa habari wakati akiuliza swali.
Mmoja ya wafanyakazi wenzake ambaye hakupenda kuwekwa wazi jina lake alisema, “Ufoo Saro yupo fiti na sasa ameshaanza tena mikikimikii ya kazi yake, japo kuna wakati akikaa peke yake anakuwa mpweke na mwenye mawazo sana,” Kikubwa tunachokifanya sisi ni kutoongelea tena lile tatizo… Aliweka wazi mfanyakazi huyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment