Simplfy language

thanx

Wednesday, October 16, 2013

Waumini wa dini ya Kiislam wamejitokeza kuhudhuria ibada ya swala ya Eid el Hajj.















 Mamia ya waumini wa dini ya kiislamu wamejitokeza kuhudhuria ibada ya swala ya Eid el hajj zilizofanyika kitaifa katika makao makuu ya baraza kuu la waislamu Tanzania-Bakwata kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment