Simplfy language

thanx

Wednesday, October 16, 2013

Angalia video ya mama Ufoo alivyoagwa jijini Dar

 Wakazi wa jiji la Dar Es Salaam wamejitokeza kuaga mwili wa mama mzazi wa mwandishi wa ITV Radio one Ufoo Saro marehemu Anastazia Saro katika kanisa la kiinjili la kilutheri Kibwegere Kibamba kabla ya kusafirishwa kwenda Moshi kwa mazishi.

No comments:

Post a Comment