Simplfy language

thanx

Wednesday, October 9, 2013

MGOMO WA MABASI WAZUA BALAA.....POLISI WAFANIKIWA KUSITSHA...............


Polisi, Sumatra wafanikiwa kusitisha mgomo wa mabasi


Baadhi ya abiria wakiwa wamesimama nje ya mabasi jana katika Kituo cha Mabasi Ubungo kabla ya kuanza kwa safari kutokana na mgomo wa mabasi yaendayo mikoani na nchi za jirani uliosababisha adha kwa wasafiri hao, Mgomo huo ulikuwa unaishinikiza Serikali kupunguza ghalama za ongezeko la tozo katika mizani. PICHA | VENANCE NESTORY  

No comments:

Post a Comment