Pages
Home
Kitaifa
Kimataifa
Michezo
Burudani
Makala
Usilolijua
Leo katika historia
Picha
Teknolojia
Afya
Simplfy language
thanx
Sunday, October 20, 2013
MAMBO YA SIMBA NA YANGA LEO.......
Mechi ya watani wa jadi imekamilika kwa timu zote mbili yaan YANGA na SIMBA KUTOKA sare ya mabao 3 kwa 3.....Mashabiki wa timu zote wameelezea hisia zao kuhusiana na mchuano huo.''Mchezo ulikuwa wa haki sana na refarii amechezesha mpira kwa haki''alisema shabiki mmoja wa timu ya simba aliyujulikana kwa jina moja la Frank.....Huku baadhi ya mashabiki wa Yanga wakilalamikia uchezeshaji wa mechi hiyo.....Mpira wa leo haujachezeshwa kwa haki simba wamewabebwa mno wasubiri raundi ya pili tutawaonyesha'' alisema shabiki wa yanga Dismas Onesmo...
Mchezo huo umemalizika kwa magoli SIMBA 3-3 YANGA.., huku simba wakionekana kuzidiwa kipindi cha kwanza na yanga kuzidiwa kipindi cha pili...
Wafungaji wa leo
Kadi za njano zilizotolewa ni SIMBA 3 YANGA 1,,,Kumiliki mchezo SIMBA 49% YANGA 51%
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment