Simplfy language

thanx

Sunday, October 20, 2013

CHEKI WAFUNGAJI WA MECHI YA LEO KATI YA SIMBA NA WATANI WAO YANGA.....

KIVUMBI NA JASHO




Mpira ni mapumziko Yanga wanaongoza magoli 3 Simba  0. Wafungaji ni Mrisho Ngassa  na Hamis Kizza aliyefunga magoli mawili,huku goli la mwisho likifungwa dakika ya mwisho ya kipindi cha kwanza 

No comments:

Post a Comment