Simplfy language

thanx

Thursday, September 4, 2014

KUNDI LA KIGAIDI LA AL-QAEDA LIMETANGAZA LIMEFUNGUA TAWI JIPYA INDIA,...

Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri amesema kuwa wamefungua tawi jipya la mtandao huo wa kigaidi nchini India ikiwa ni jitihada za kuhakikisha wanapandisha bendera za Jihad kusini mwa bara la Asia.

No comments:

Post a Comment