Simplfy language

thanx

Saturday, July 19, 2014

TAARIFA ZA KUUNGUA JENGO LA HOTELI (NAURA SPRING) ARUSHA NI UVUMI.....Soma hapa kwa uhakika>>>


naura-spring-hotel

Kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka utakuwa umekutana na picha ambayo inaonyesha hotel ya Naura ikiungua moto huku nyingi zikionyesha moto wake umeshika kasi kwenye kuwaka.
Baada ya kusambaa kwa picha hizo uchunguzi umebaini kuwa taarifa hizo  si za kweli na hata uongozi na wafanyakazi wa hotel hiyo wameshangazwa na picha hiyo.
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa kujua haswa picha hiyo ilipoanzia kusambaa ili kuweza kuwatambua walioanza kuzisambaza picha hizo.
nauraaa

No comments:

Post a Comment