Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari  feki ambao walikuwa wakifanya 
utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro. Kulia ni Brazil Nyakunga ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bosi wake Goodluck Mbehale.
(Picha na Francis Godwin, Iringa)
 


 
 
No comments:
Post a Comment