Simplfy language

thanx

Wednesday, May 21, 2014

UKAWA YAMPONZA MCHUNGAJI KAKOBE...

kakobeUSHIRIKA wa wachungaji wa Kipentekoste nchini (PPFT) umemtaka Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zakaria Kakobe, kuacha tabia ya kutumia mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment