
Mwanamziki maarufu nchini Tanzania Diamond amewasahangaza wengi waliomshuhudia akipanda jukwaani kupokea tuzo ya kill music award akiwa amevalia sketi.
Mashabiki wa msanii huyo wameshangazwa huku wengi wao wakijiuliza kuwa ndio stail au Diamond ameamua kutoka tofauti na wasanii wenzake.
Diamond alipanda jukwaani kuchukua tuzo akiwa amevalia vazi hilo maarufu kama sketi.
Sketi ni vazi maarufu sana kwa kina dada katika nchi nyingi duniani.
 
 
 
No comments:
Post a Comment