Mamba aliekua akiishi katika ziwa Victoria mwenye umri wa miaka 80, mwenye uzito unaokadiriwa
kukaribia tani moja amekamatwa katika ziwa Victoria upande wa Uganda ni baada ya wananchi kulalamika kuhusu mamba huyo anaekula watu, huku akikadiriwa kuwa ameshakula watu wasiopungua sita mpaka kukamatwa kwake
 watu
 wengi kutoka kijiji  cha kakira walifika kushuhudia mamba huyo 
akitolewa majini, huku wakiwa na nyuso za furaha na wengi wakipiga 
picha
 watu
 wengi kutoka kijiji  cha kakira walifika kushuhudia mamba huyo 
akitolewa majini, huku wakiwa na nyuso za furaha na wengi wakipiga 
picha Mtu wa mwisho kuliwa na mamba huyo ni mzee mwenye watoto wawili ambae ni mvuvi wa samaki ambae nguo zake zilionekana zikielea katika mto huo huko Uganda
 
No comments:
Post a Comment