MAADHIMISHO YA MAUAJI YA KUTISHA .....UFARANSA YAJUMUIKA.....
Ufaransa imesema kuwa haitoshiriki maadhimisho ya
kumbukumbu za mauaji ya kimbari ya Rwanda baada ya Rais Paul Kagame wa
nchi hiyo kuituhumu Paris kuwa ilihusika moja kwa moja katika mauaji
hayo.
No comments:
Post a Comment