 
 
Leo (April 7), ni miaka miwili tangu afariki Steven Kanumba, muigizaji aliyeacha pengo kubwa kwenye tasnia ya filamu Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla
.
“Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu.” Ameandika Lulu.
 
 
 
No comments:
Post a Comment