Simplfy language

thanx

Thursday, March 27, 2014

WATANZANIA WAMEN'GARA HUKO AFRIKA KUSINI................


 
             
Wachezaji watatu wa mchezo wa kuogolea kati ya 740 walioshiriki mchezo huo
nchi za Kusini Mashariki mwa Afrika huko Afrika Kusini wameng'ara baada ya kutwaa medali mbili
za shaba. Wachezaji hao ni Shammrad Magesvaran, na Ilyas Shivji. Akiongelea ushindi wake Shammrad Magesvaran amesema licha ya kushinda kwenye mashindano hayo, anaona yalikuwa magumu na anaongeza kuwa siri ya ushindi wake imetokna na juhudi za kocha wake Ramadhani Namkoveka. Mashindano hayo yalimalizika Machi 23 katika bwawa la Ellias Park nchini Afrika Kusini na kushirikisha timu 73 na zaidi ya waogeleaji 740, na tanzania iliwakilishwa na wachezaji watatu.

No comments:

Post a Comment