Jana mida ya Jioni pale mlimani City imeshuhudiwa wafanya kazi wa Duka Kubwa la Shoprite wakiwa wamegoma wakizuia watu wasiingie kwenye duka hilo kwa kile kilichodaiwa kuwa duka hilo limeuzwa bila wao kupewa mafao yao …
Habari zilizopo ni kuwa duka hilo limenunuliwa na Super Market Ingine kubwa Nchini Kenya Ambayo inakuja kupanua biashara zake hapa Dar.
 

 
 
No comments:
Post a Comment