DK CHENI
MINONG’ONO na uvumi unaotambaa kwa kasi kuwa anajihusisha na taasisi ya wajenzi huru (Freemasons), unazidi kumtesa Dk Cheni msanii wa filamu za Kibongo, kwa madai ya
kwamba anajisikia vibaya anaponyoshewa vidole na baadhi ya wadau wa tasnia hiyo.
kwamba anajisikia vibaya anaponyoshewa vidole na baadhi ya wadau wa tasnia hiyo.
Kauli kama hizo zimekuwa zikitolewa kwa nyakati tofauti na baadhi ya wasanii wenzake.
Dk. Cheni alipotafutwa kwa njia ya simu Jumapili ya wiki iliyopita na kuulizwa madai hayo alikuwa na haya ya kusema:
Dk. Cheni alipotafutwa kwa njia ya simu Jumapili ya wiki iliyopita na kuulizwa madai hayo alikuwa na haya ya kusema:
No comments:
Post a Comment