Mbinu hiyo yenye utata imekosolewa na watu wengi huku yeye akisema kuwa binadamu wanaweza kula chochote na wasidhurike. “Ndio tunakula majani na tunajivunia sababu inaonesha kuwa kwa nguvu ya Mungu, tunaweza kufanya lolote,” Rosemary Phetha aliliambia gazeti la Afrika Kusini la Times Live.
 
 Muumini akila majani ili kuwa karibu na Mungu
Muumini akila majani ili kuwa karibu na Mungu Mwanamke mmoja alidai kuwa kula majani kulimponya koo lake
Mwanamke mmoja alidai kuwa kula majani kulimponya koo lake Waumini wakiwa wamelala nje ya kanisa kula majani kama walivyoagizwa na mchungaji wao
Waumini wakiwa wamelala nje ya kanisa kula majani kama walivyoagizwa na mchungaji wao







 
 
No comments:
Post a Comment