Simplfy language

thanx

Friday, January 31, 2014

Baadhi ya wanachadema wampondea ZITTO KABWE........Cheki Moro hii..


afande msanii
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele, wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Dama, uliofanyika katika Kata ya Tungi mjini Mororgoro .
 Mwenyekiti wa Chama ch Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mtibwa katika mkutano wa Operesheni M4C pamoja Daima.


No comments:

Post a Comment