Simplfy language

thanx

Tuesday, January 14, 2014

Arsenal bado ngangari


Arsenal bado ngangari


Arsenal wamekuwa wakionyesha mchezo mzuri sana tangu ligi kuanza
Arsenal jana usiku wamefanikiwa kurejea katika nafasi yao ya kwanza kwenye ligi ya Premier baada ya kuicharaza Aston Villa
newinfozt.blogspot.com
mabao mawili kwa moja.
Gunners waliwapiku Manchester City na Chelsea na kurejea juu ya orodha.

Villa muda wote walionekana tu kukimbiza vivuli vya wachezaji wa Arsenal ingawa hatimaye walifanikiwa kuingiza bao la kichwa kupitia kwa Christian Benteke na kuzua wasiwasi kwa watani waoUlikuwa ushindi rahisi kwa Arsenal kutokana na mabao ya Jack Wilshere na Olivier Giroud ndani ya dakika moja wakati wa kipindi cha kwanza . Bila shaka Arsene Wenger alikuwa mwingi wa furaha.
Gunners walipata ushindi waliostahiki huku wakizidisha idadi ya mechi walizoshinda hadi mechi 15 tangu mwaka 1998.
Na kulikuwa na habari zaidi njema, ingawa mwanzo Theo Walcott hatacheza tena msimu huu naye mchezaji mwengine Alex Oxlade-Chamberlain amerejea uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa msimu huu.











No comments:

Post a Comment