Pages
Home
Kitaifa
Kimataifa
Michezo
Burudani
Makala
Usilolijua
Leo katika historia
Picha
Teknolojia
Afya
Simplfy language
thanx
Wednesday, October 16, 2013
"DAWA ZA KULEVYA'.........NA MSANII DEE
YOUNG DEE NA SAKATA LA KUTUMIA UNGA "DAWA ZA KULEVYA' AFUNGUKA HAPA
3
Nimezaliwa Dar es salaam.. Mambo kibao nimepitia (+vity100%) ukichangia mazingira nliyokulia nmejifunza na kuona mambo mengi..
#bangi
#pombe
hata
#sigara
hayo ni mambo nmeona watu wangu wengi hata wa karibu wakitumia mfano mzuri alikua
#babaAngu
mzazi akitumia ( R.I.P) ila kuhusu
Unga
Ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana maana hakuna hata mtu yoyote wa karibu yangu niliyeona akitumia, zaidi nilichoona ni wote waliotumia hamna hata mmoja kati
yao alietumia hayo madawa akafanikiwa.. nachohitaji kuwajulisha watu wangu wote ni
kwamba imani yenu kwangu kuhusu kijitambua isishuke kwa chochote mtakaacho sikia ila zote zinaweza kua FUnunu tu!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)