 JOSEPH MBILINYI AKITOLEWA BUNGENI
 JOSEPH MBILINYI AKITOLEWA BUNGENIMuswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013 umeligawa bunge baada ya wabunge kutoka vyama vya Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF kususia mjadala wa muswada huo kwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge baada ya kuhoji uhalali wa bunge kuendelea na mjadala bila upande wa Zanzaibar kusikilizwa maoni yao.

KABLA HALI HAIJACHAFUKA
 
 
 
No comments:
Post a Comment