Pages
Home
Kitaifa
Kimataifa
Michezo
Burudani
Makala
Usilolijua
Leo katika historia
Picha
Teknolojia
Afya
Simplfy language
thanx
Monday, August 26, 2013
Wanaume 2 wagawana MKE Mmoja
Tuma to Rafiki Yako
Chapisha
Mwendwa nai Mmoja Wa Wanaume hao walioamua kugawana MKE Mmoja.
Wanaume wawili nchini Kenya wameibuka kupigania mwanamke ambaye Wote wanampenda Wamesaini mkataba wakikubaliana kuishi Nae kwa zamu.
Silvester Mwendwa nai Mmoja Wa Wanaume hao. Ameeleza BBC kwanini binafsi anamuhusudu mwanamke huyo.
Mmoja Wa Wanaume hao alisema haoni ubaya wowote to yeye Rangi mwenzake kumuoa mwanamke Mmoja.
Amehoji sheria inayoruhusu Wanaume kuoa wanawake wengi Rangi wakati Huo Huo kuharamisha mpango KAMA Huo to Kina mama.
Sylvester Mwendwa anasema Wazazi wake wamekubali Rangi mpango wake Rangi Wako tayari kumtolea Mahari.
Wanaume hao wawili walikubali kumuoa mwanamke huyo baada ya kugundua kwamba kumbe Wote Wana uhusiano wa kimapenzi naye.
kumbe mwanamke huyo alikuwa ameahidiana na KILA Mmoja wao kwamba angelifunga NAO Ndoa
Lakini walipogunduana, ilikuwa nai ugomvi wa Mara to Mara lakini mwanamke huyo alipoambiwa amchague mnmoja wao, alishindwa.Akasema anawapenda Wote wawili.
watatu hao waliafikiana kusaini mkataba ambao utaruhusu Wanaume hao wawili kuishi na mwanamke huyo bwana KAMA bibi ILA KILA Mmoja wao atakuwa wakati wake wa 'Kwenda kumjulia HALI.'
mkataba Huo unawashurutisha kugawana majukumu yote nyumbani ikiwa ni PAMOJA kuwalea Watoto kutowabagua to kuwa Wote watakuwa na Haki Sawa.
Hata hivyo to mujibu wa sheria za kenya ni haramu to mwanamke kuolewa Wanaume wawili mkataba Huo Sasa umeibua mjadala Mkali wa kisheria,Huku Ndoa ikitarajiwa kujadiliwa Rangi kuidhinishwa bungeni.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment