Simplfy language

thanx

Tuesday, July 2, 2013

PICHA ZA TUKIO ZIMA LA UJIO WA OBAMA

KAMA ULIMIS TUKIO LA UJIO WA OBAMA HIZI HAPA PICHA ZA TUKIO ZIMA

 2 JULY 2013

HAYA NDIYO MATUKIO YA RAIS BARRACK OBAMA NCHINI TANZANIA

RAIS OBAMA akitelemka kwenye Air Force One na mtoto wake pembeni mara baada ya kuwasili katika ardhi ya Tanzania wakati akitokea afrika ya Kusini majira ya saa 8 mchana kwa ziara ya kikazi nchini.Barack Obama akipokewa na Wananchi wa  Tanzanian huku wanaband wakitumbuiza nyimbo mbalimbali kwenye uwanja wa Mwl.Julius Kambarage jijini Dar es Salaam leo hii mchana akitoka Africa kusini.

Rais Obama akipita kwenye kapeti jekundu huku akiwa na furaha na kucheza nyimbo za wabongo kwenye uwanja wa jijini Dar es salaam wa Mwl. Julius Kambarage mchana wa leo. Karibu  Tanzania....karibu!!! Ilikuwa ni patashika kwa wacheza ngoma hapa!!! Obama mpaka akaachia Tabasamu Angalia Rais Obama akicheza nyimbo za hapa kwetu Bongo huku akiwa na furaha kwa mapokezi baada ya kukanyaga ardhi ya Tanzania leo hii mchana kwenye muda wa saa nane na dakika 37. Obama na JK. Karibu Baba ! Karibu Tanzania!  Rais na First Lady Obama wakisalimia wananchi wa Tanzanian baada ya kupokewa na Rais Jakaya Kikwete na First Lady Salma Ni furaha hapa baada ya Rais Obama kutua Bongo, hapa anaonekana na mwenyeji wake rais Jakaya Kikwete wakipokewa kwa ngoma Ni mimi jamani ...tupo pamoja !.  Karibu jamani ....jaribu mzee!!! Tunakupenda!!  Mapokezi haya!!! angalia mavazi!!     Hapa ni wakati wapo Africa kusini wakipanda Air Force One Cape Town wakiwaaga wananchi nchini humo kabla ya kuja Bongo Tanzania: Rais Barack Obama wa Marekani (kushoto) akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari wa Tanzania na Kimataifa Ikulu Jijini Dar es Salaam jioni YA JANA ambapo mbali na kuzungumzia mstakabali wa ziara yake nchini Tanzania na Afrika pia amezungumzia masulala mbalimbali ya Kimataifa ukiwepo mgogoro na Vurugu zinazoendelea nchini Misri na Congo DRC. Rais George W. Bush na mkewe pia wapo hapa nchini Tanzania na pia watajumuika pamoja na  Mr Obama LEO.   Mr Obama alipotembelea jengo la magereza ambapo  Nelson Mandela alifungwa kwa miaka kadhaa huko Africa kusini kwenye kisiwa cha  Robben Island

No comments:

Post a Comment