Simplfy language

thanx

Showing posts with label hot news. Show all posts
Showing posts with label hot news. Show all posts

Tuesday, April 15, 2014

TAZAMA PICHA ZA KUAGWA KWA MSANII GURUMO

Mwili wa marehemu ukishushwa kaburini.
Waombolezaji wakiwa kaburini tayari kuupokea mwili wa Gurumo na kuuhifadhi.
Saidi Mabera akitoka kaburini baada ya kumhifadhi kiongozi mwenzake, Gurumo.
Waombolezaji wakifukia kaburi la Gurumo, Masaki Kisarawe.
Mwanamuziki Profesa J akiwa makaburini, Masaki, Kisarawe.
Mwanamuziki Ally Choki akihojiwa baada ya mazishi, hapa makaburini.
Mbunge mteule wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete alikuwepo.
Swala ya mwisho makaburini.
Gari lililobeba mwili wa marehemu likifika Masaki Kisarawe.
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Fatma Losindilo akihutubia kabla ya mazishi, Masaki, Kisarawe, Pwani.
Wanamuziki wa Msongo Ngoma Music Band.
Waombolezaji wakiangua kilio baada ya msafara wa msiba kuwasili Masaki, Pwani.
..waombolezaji wakilia kwa uchungu.
Mkuu wa wilaya akiwa ameungana na waombolezaji.
Mwandishi wa Global, Issa Mnally, aliyeketi kulia, akipata chakula na waombolezaji msibani.
…waombolezaji.
Mwanamuziki Zaih Ally ‘Zoro’, (mbele mwenye kofia) wakiwa na jeneza lenye mwili wa Gurumo.
Waombolezaji wakiwa wamejipanga kusubiri jeneza lenye mwili wa marehemu ili kwenda kuufifadhi kaburini.
Waombolezaji wakiwa na jeneza wakielekea makaburini.
Mwanamuziki, Ally Choki, (mwenye kofia) akiwasili Masaki, Kiasarawe.

Saturday, April 5, 2014

CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA KATIKA KABURI...AJABU...TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA..

Mamauzauza! Chungu cha Ajabu chenye damu,maini na kichwa cha ndege chaibuka kwenye Kaburi la mtoto huko IRINGA..!!

chung
Chungu  cha ajabu  kilichokutwa juu ya kaburi  katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa  leo kikiwa  kinafoka  damu
Wananchi  wakishuhudia chungu  hicho cha ajabu  kushoto  karibu na jembe

Tuesday, January 14, 2014

KATIBA MPYA ITAWAENGUA WABUNGE WA ....................

 KATIBA MPYA ITAWAENGUA WABUNGE WA ....................






BAADHI ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanakabiliwa na hatari ya kukosa sifa ya kuwania ubunge mwaka 2015, iwapo Bunge Maalumu la Katiba litaridhia pendekezo lililopo katika rasimu

WABUNGE WA UPINZANI WAMGOMBEA ZITTO......................


Niliula mguu wa adui......


BOMU LINGINE LALIPUKA..................HATARI...........

Daktari aliyeiba watoto ahukumiwa.........

200 wafariki wakitoroka vita S.Kusini............

Monday, January 13, 2014

Huu ni msiba wa taifa......

Jaji Liundi, Hashim Saggaf wafariki dunia



Waombolezaji wakiwa kwenye msiba wa Jaji, Georgeb Liundi nyumbani kwake Keko jijini Dar es Salaam jana. Jaji huyo anatarajiwa kuzikwa kwenye makaburi ya Chang'ombe keshokutwa. Picha na na Silvan Kiwale.
 Taifa limepoteza watu wawili mashuhuri. Hao ni Msajili wa Kwanza wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji George Liundi (78) na Mbunge wa zamani wa Dodoma Mjini, Hashim Saggaf.
Jaji Liundi alifariki dunia usiku wa kuamkia jana alipokuwa akipelekwa Hospitali ya TMJ kwa ajili ya matibabu wakati Saggaf, ambaye alikuwa Diwani wa Mtafukoge, Dar es Salaam alifariki jana saa nne asubuhi kwenye Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.
Saggaf alizikwa jana kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na mazishi ya Jaji Liundi yamepangwa kufanyika keshokutwa.
Jaji Liundi
Jaji Liundi alikuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, mwaka mmoja baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, Julai mosi, 1993 na alistaafu mwaka 2001 na nafasi yake kuchukuliwa na John Tendwa ambaye naye