Simplfy language

thanx

Showing posts with label BURUDANI(Entertainment). Show all posts
Showing posts with label BURUDANI(Entertainment). Show all posts

Wednesday, April 9, 2014

NGASSA AONYESHA UPENDO KWA WEMA SEPETU...

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
NGASSA: “Diamond ni rafiki yangu, lakini mpira huu nitampelekea Wema kwa kuwa ni shemeji yangu na tunaheshimiana sana,” alisema Ngassa na kuongeza: Mrisho Ngassa wa Yanga, jana alifanikiwa kufunga

Thursday, April 3, 2014

MAMA LULU ATUHUMIWA.......

www.newinfotz.blogspot.comMAMA wa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupiwa tuhuma nzito kuwa

Monday, March 31, 2014

Msanii Jose Chamilion kanyang'anywa gari!!!!!!!!............................

CHAMELEONJose Chameleone amenyang’anywa gari yake aina ya Escalade na maofisa wa URA baada ya mamlaka hiyo kudai kwamba msanii huyo ameshindwa kulipa kodi yenye thamani ya shilingi milioni

Wednesday, March 26, 2014

list ya washiriki wa tuzo ya kili imewekwa wazi.................

List imetoka, wanaowania tuzo za KILI 2014 ndio hawa, zilizoachwa ziko hapa pia

Screen Shot 2014-03-25 at 11.38.42 AMBaraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania.

GARI LA DIAMOND LINAPIGIWA SOKO KISA KASHINDWA KULINUNUA




LILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni linapigwa bei.
Diamond akiwa ndani ya Toyota Land Cruiser V8 linalopigwa bei kwa sasa.
Gari hilo linalomilikiwa na pedeshee maarufu Bongo, Mohammed Kiumbe ‘Chief Kiumbe’