Simplfy language

thanx

Showing posts with label BREAKING NEWS. Show all posts
Showing posts with label BREAKING NEWS. Show all posts

Thursday, March 27, 2014

Obama anakutana na Papa Francis ...........



Rais Barrack Obama wa Marekani anakutana na na kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, katika makao yake makuu huko Vatican.

Wednesday, March 26, 2014

Bunge laahirishwa bila kufikia muafaka....


Screen Shot 2014-03-25 at 12.45.46 AM
Mwenyekiti wa Bunge la katiba ameahirisha tena bunge la katiba mpaka kesho saa kumi jioni.

Friday, January 17, 2014

REST IN PEACE FATHER..........

Rich-Mavoko

DIVA KUTOKA UTANGAZAJI HADI UBUNGE........

diva1 (1)‘Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015 na kuingia kwenye siasa rasmi 2015,Kama mwanasiasa kijana nina mengi ya kusaidia Taifa na jamii inayotuzunguka yenye vijana wengi,i want to inspire and motivate and i want my voice to be